Simanzi yatawala mkoani Geita kufutia mauaji ya kikatili ya mwenyekiti wa Chadema mkoa huo na watu wasiojulikana. https://youtu.be/fKH4KPGdyfU
Watotot waishio jirani na maeneo yenye migodi nchini wako hatarini kukosa elimu kufuatia watoto hao kuipa mgongo elimu na kuzama machimboni.https://youtu.be/C0KEf8KGjpI
Aliekuwa mgombea wa nafasi ya uspika wa bunge kupitia CCM Dr.Massaburi ajitoa kwenye kinyanganyiro hicho kufuatia tuhuma za kashfa zinazoelekezwa kwake.https://youtu.be/jy2FG8TSc4Q
Mwanafunzi mmoja wa kidato cha nne amefariki na wengine sita wakijeruhiwa kwa radi Mkoani Iringa; https://youtu.be/qJa0b105zgM
Watu sita waliokuwa wamefukiwa na kifusi cha udongo katika machimbo ya Nyangarata wilayani Kahama mwezi 1 uliopita waokolewa 5 wakiwa hai na 1 akiwa amefariki; https://youtu.be/ylJjBqgX0Vs
Wakulima wa zao la Pamba wilayani Nzega mkoani Tabora wamelalamikia ucheleweshaji wa pembejeo za zao hilo zikiwemo mbegu;https://youtu.be/rJ36tqQXgbs
Wanariadha kutoka Kenya wameendelea kutamba katika mbio za Rock City Marathon zilizofanyika jijini Mwanza; https://youtu.be/Ei1bN7pqgwY
Mpwa wa mchezaji wa timu ya taifa ya Ufaransa Lassan Diarra amethibitishwa kuawa katika shambulizi la kigaidi jijini Parisi Ufaransa; https://youtu.be/MkJ-thNODSk
Inaelezwa kuwa uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Kagera mkoani Kigoma uliofanyika leo umemalizika kwa amani; https://youtu.be/2cMP0weCraU
Wadau wa mashirika yasiyo ya kiserikali waombwa kushirikiana na serikali ili kukomesha suala la ukeketaji kwa watoto wa kike mkoani Mara; https://youtu.be/fCu-pmGzbx0
Wananchi wilayani Simanjiro mkoani Manyara wameiomba serikali kusaida kutatua shida ya maji inayowakabili wananchi hao; https://youtu.be/YiZ6KnJDO5U
Wananchi wa kijiji cha Wami Sokoine mkoani Morogoro wameigomea serikali kuondoka eneo walilolivamia kuwa ni hifadhi ya msitu;https://youtu.be/8TH7C7pjNHw
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...