Hatua ya serikali kutaka kuyafungia maduka yote ya madawa yaliyoko nje ya hospitali za serikali imepongezwa na baadhi ya wananchi na kutaka serikali kuharakisha mchakato huo. https://youtu.be/PKImj6aPKwM
Kufuatia hali tete ya kisiasa iliyoko Zanzibar, mfumuko wa bei waelezwa kuongezeka na kuvunja rekodi visiwani humo. https://youtu.be/bbg383LfRv0
Mtoto mwenye umri wa miaka 8 anayesoma darasa la pili aomba msaada wa wananchi msaada wa shilingi laki sita kwa ajili ya upasuaji.https://youtu.be/yRsJnEZ5aqo
Wakazi mabalimbali wa jiji la Dar es salaam hasa wale waishio pembezoni mwa fukwe za Cocobeach wajitokeza kushuhudia samaki aina ya nyangumi mwenye tani 25 aliyetupwa na maji fukweni hapo. https://youtu.be/A2vYdiI6St8
Harakati za kuwania kiti cha uspika wa bunge la 11 zaendelea kupamaba moto baada ya mbunge mteule wa Kasuru kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo.https://youtu.be/lp_qzemGDYY
Mchakato wa utoaji elimu bure waendelea kupamba moto baada ya katibu mkuu wa TAMISEMI kukutana na viongozi kulitilia mkazo. https://youtu.be/5MPKc55I8t0
Wakazi wa mkoa wa Kilimanjaro wamuomba raisi John Magufuli kutekeleza kwa vitendo aahadi ya kufufua viwanda nchini. https://youtu.be/cLjLCh-SwsU
Wakulima wadogo nchini waiomba serikali nchini kuangalia namna ya kuboresha sera ya kilimo biashara ili wanufaike na kilimo hicho. https://youtu.be/k1i6TI6W6eI
Gharama ya usafirishaji katika bandari ya Mtwara yalalamikiwa kuwa juu ukilinganisha na Bandari ya Dar es salaam. https://youtu.be/NYKl7oje_Yo
Katibu mkuu ofisi ya waziri mkuu na serikali za mitaa TAMISEMI amesema mtumishi wa umma atakayeshindwa kuwajibika atakuwa kajifukuza kazi;httphttps://youtu.be/5ICIOZybiPE
Wakala wa umeme vijijini REA imefanikiwa kufunga umeme kwa taasisi 18 wilayani Mbozi mkoani Mbeya; https://youtu.be/RLoy0CvFg70
Baraza la usimamizi wa mazingira nchini NEMC limekifunga kiwanda cha plasitiki cha JIU RONG LIN kilichopo Dar es Salaam kwa kukiuka kanuni za utunzaji wa mazingira;https://youtu.be/ZXHJ6_l-clo
Serikali mkoani Mara imetuma timu ya wataalamu wa afya vijijini kutoa elimu ya kupambana dhidi ya kipindupindu; https://youtu.be/qyRuGnunobo
Baadhi ya wanawake wilayani Kahama waiomba serikali kuwachukulia hatua kali baadhi ya wananume wanaotumia vibaya pesa za TASAF; https://youtu.be/-FH-AUozdHE
Benki ya maendeo ya TID pamoja na manispaa ya Kinondoni wameingia makubaliano ujenzi wa eneo la kupumzikia la Coco Beach; https://youtu.be/JZd4IBDQ-zg
Serikali ya Tanzania na serikali ya China zimekubaliana kushirikiana katika biashara kwa lengo la kukuza uchumi wa Tanzania https://youtu.be/D_xETW3OO1k
Mfumuko wa bei ya vyakula visiwani Zanzibar umeongezeka kwa kasi kutokana na wafanyabiashara kushindwa kuagiza bidhaa nje ya Zanzibar;https://youtu.be/GK6mw0qJdDY
Kocha mkuu wa Taifa Stars, Boniphace Mkwasa amesema kuwa kikosi chake kitafanya vizuri dhidi ya timu ya taifa ya Algeria katika mchezo utakaochezwa jumamosi hii katika uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam https://youtu.be/1fs4TGNGXBs
Baadhi ya wananchi mkoani Geita wamelalamikia uvamizi uliofanywa na wakala wa misitu na kupelekea kupoteza kwa mali zao; https://youtu.be/FRX1FMp9xKE
Mkoa wa Manyara umejipanga vilivyo kwa kuandaa mazingira safi ili kupambana na magonjwa ya mlipuko kama vile kipindupindu; https://youtu.be/BC_4WVAjE7Y
Aliyekuwa Spika wa bunge serikali ya awamu ya nne,Mh.Anne Makinda amesema hatongombea na yake kuwatak wabunge wafanye kazi kwa manufaa ya taifa;https://youtu.be/FzQH8aQHmBA
Uongozi wa shirika la simu la TTCL nchini limekanusha madai yaliyotolewa na chama cha wafanya kazi wa huduma za mawasiliano TEWUTA; https://youtu.be/p-4s-xwLLY8
Mamlaka ya hali ya hewa nchini TMA imeendelea kuwatahadharisha wakazi wa mabondeni kuhusu mvua za vuli zinazoendelea kunyesha; https://youtu.be/aV4-vrnXwiU
Tanzania kwa kushirikiana na shirika la umoja wa mataifa la maendeleo ya viwanda UNIDO kwa pamoja wamezindua elimu kwa njia ya mtandao kwa lengo la kutoa elimu ya kusindika ngozi. https://youtu.be/gRCeqhgjA3U
Watanzania wameshauriwa kutumia vyama vya ushirika kwa lengo la kujenga uchumi imara na endelevu; https://youtu.be/aNc-tPTrUuA
Kocha mkuu wa Taifa Stars Boniphace Mkwasa amesema anaamini watafanikiwa kubuka na ushindi dhidi ya timu ya taifa ya Algeria; https://youtu.be/L_xS3R4dUG0
Mrembo wa Tanzania mwaka 2014-15, Lilian Kamazma amesema atafanya vizuri katika kuwania taji la mrembo wa dunia; https://youtu.be/ueH0J2rYfbw
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...