SIMU.TV: Mahakimu wakazi wote nchini wametakiwa kuhakikisha kesi zote za uchaguzi zinapewa kipaumbele na kutoa hukumu mapema https://youtu.be/xRrZ45GeJEM
SIMU.TV: Wachimbaji wadogo 5 kati ya 6 waliokuwa wamefukiwa katika mgodi wa dhahabu wa Nyagalata Shinyanga wameokolewa wakiwa hai. https://youtu.be/5RVaHQkpuAk
SIMU.TV: Utafiti uliofanywa na wakala wa ukaguzi wa madini TMAA wabaini wachimbaji wa madini adogo na wakati ndio wanaochangia uharibifu wa mazingira; https://youtu.be/Zsjbpq80qW0
SIMU.TV: Wakuu wa vyuo nchini wameombwa kutoa ushirikiano na kuelimisha wasomi juu ya ulipaji wa tozo ya Sh.20,000/= kwa kila mwanafunzi aliyedahiliwa mwaka huu https://youtu.be/kDKN53RWM9k
SIMU.TV: Wakulima watakiwa kuuza korosho kwa mfumo wa stakabadhi ghalani ili wakulima waweze kufaidika na mazao yao; https://youtu.be/1HsGlqKjGXU
SIMU.TV: Zaidi ya wananchi laki 5 visiwani Zanzibar wako hatarini kuathirika na mabadiliko ya tabia nchi endapo hatua na mikakati imara haitachukuliwa; https://youtu.be/x8Lyxw26_F0
SIMU.TV: Wakazi wa kata ya Mabawa, Tangasisi wakosa makazi baada ya kutokea mafuruki yaliyosababishwa na mvua kubwa; https://youtu.be/E0InSYc98iI
SIMU.TV: Serikali itaendelea kuwekeza katika zao la korosho ndani ya Teknolojia ya kisasa ili kuinua zao hilo katika soko la Ndani na nje ya nchi. https://youtu.be/OasNaEEq92g
SIMU.TV: Bunge la 11 limeanza kikao chake leo mjini Dodoma kwa kufanya uchaguzi wa spika wa Bunge huku Job Ndugai akiibuka kidedea. https://youtu.be/3P6dOIjj6lc
SIMU.TV: Mvua zinazoendelea kunyesha Tanga zaleta athari kubwa katika baadhi ya mitaa na kusababisha wananchi kuhama majumbani mwao. https://youtu.be/xcxr1sV7CNk
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...