Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Pole dada mwenye kipaji.

    Lakini hapana, msamaria akusaidie kusoma ili upate uwezo wa kuzalisha fedha mwenyewe ujenge nyumba yako binafsi.

    Kwa umri ulionao si muda wa kusaidiwa kupanga, labda kusoma. Ukianza kusaidiwa sasa hivi mpaka umri wa miaka 80-90 itakuwa kazi.

    Kaanze form 1 (usione aibu). Utu utakaopotea kwa kuanza form 1 sasa hivi ni mdogo kulinganisha ni utu unaopotea kwa ufukara na kuomba misaada. halafu ukihitimu utu wako utakuwa umeukomboa.

    ReplyDelete
  2. This is such a sad story.. Yaani dada mwenye kipaji kama hichi bado anaishi maisha kama haya?
    Sijui ana umri gani? Ila angeweka hata namba ya simu MPESA, upate msaada kiasi arafu akipona aende wizara ya utamaduni na michezo au apate agent wa kumsaidia kukuza kipaji chake.
    Usiende uwanja wa taifa kutoa burudani tu, make sure u get paid for it. pleeeeease

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...