SIMU.TV: Mkurugenzi wa NEC akanusha orodha ya wabunge wa viti maalum inayosambaa katika mitandao kuwa sio sahihi na hivyo ipuuzwe;https://youtu.be/_D6sNX2tEwM
SIMU.TV: Watu 8 wamejeruhiwa baada ya kuangukiwa na kuta ya nyumba katika vijiji vitatu tofauti mkoani Iringa kufuatia mvua kubwa kunyesha; https://youtu.be/m80CCtu_rM
SIMU.TV: Rai wa China wakamatwa na jeshi la polisi wakijaribu kuvuka na pembe za faru katika mipaka ya Tanzania na Malawi; https://youtu.be/SNwxwzeIw28
SIMU.TV: Baada Ya Dkt. Magufuli kuapisha kuwa raisi wa Tanzania, baadhi ya wakazi wa mkoa wa Dodoma wataja vipaumbele kwa hatua za awali.https://youtu.be/PKvBBPEHU2E
SIMU.TV: Dr.Magufuli apewa shauri kuangalia kwa karibu sheria za uhifadhi wa misitu, mazingira ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi; https://youtu.be/0fAPSOYgsQA
SIMU.TV: Ria wanne wa China wamekamatwa na jeshi la polisi wilaya Kyela wakiwa na pembe za faru wakitokea Malawi; https://youtu.be/k0CB0awpMHg
SIMU.TV: Wahitimu wa vyuo vikuu wameshauriwa kuacha kulalamika na kuchangamkia fursa katika soko la ajira la Afrika Mashariki;https://youtu.be/EI8MUlaAm-Y
SIMU.TV: Serikali Yaombwa kuwekeza zaidi kukuza utaalamu wa madaktari na matibabu nchini ili kudhibiti ongezeko la wagonjwa wanaotibiwa nje;https://youtu.be/xHgiy_O-H24
SIMU.TV: Utafiti Wizara ya afya kuhusu ugonjwa wa kipindupindu wathibitisha,wagonjwa waliofariki wametokana na kutofikishwa hospitalini. https://youtu.be/cfvMjWnFZWM
SIMU.TV: Chuo kikuu Huria Tanga Chawalaumu waajiri wenye tabia ya kukwamisha wanafunzi wanaotaka kujiunga na masomo chuoni hapo.https://youtu.be/5HKGNPF6XQg
SIMU.TV: Taasisi ya utetezi ya watu wenye albinism nchini Tanzania imesema matendo ya ukatili dhidi ya albino yamepungua katika kipindi cha uchaguzi huu:https://youtu.be/czt-ZYTqo08
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...