
SIFA ZA WASHIRIKI.
1. Awe msichana mwenye umri usio pungua miaka kumi na nane na usio zidi miaka thelathini.
2. Elimu ya kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
3. Uwezo wa kuzungumza kwa ufasaha lugha za Kiswahili na kiingereza.
4. Awe maridadi na mwenye mvuto
5. Awe raia wa Tanzania anaye ishi mahali popote ndani au nje ya Tanzania.
6. Awe na passion na kazi ya mitindo.
UTARATIBU WA KUSHIRIKI.
Tuma CV yako pamoja na picha zako kumi za rangi ( Full) ulizo piga hivi kaibuni, kwenda :neemamodelling@gmail.com.
Mwisho wa kupokea maombi ya kushiriki katika shindano hili ni tarehe 30 NOVEMBA 2015 saa nane kamili mchana.
Shindano kuzinduliwa rasmi tarehe 05 DESEMBA 2015.
Kwa maelezo zaidi kuhusu shindano hili, tembelea kila siku : www.neemaherbalist.blogspot. com
Kwa maulizo zaidi wasiliana nasi kwa simu 0765 10 30 80.
Au fika katika ofisi zetu zilizopo Ubungo Dar Es salaam, karibu na Shule Ya Msingi Ubungo National Housing, nyuma ya jengo la UBUNGO PLAZA jijini Dar es salaam.
HII NI FURSA YA PEKEE KWA WANAMITINDO CHIPUKIZI, KUONYESHA VIPAJI VYAO VYA MITINDO.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...