Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Bendera akizungumza na mtoto wa mkazi wa Kitongoji cha Madukani Wilayani Simanjiro Helena Saitabau, ambaye alipatiwa sh120,000 za mfuko wa Maendeleo ya jamii nchini (Tasaf) kwa lengo la kusaidia kaya masikini.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Dk Joel Bendera akizungumza na mkazi wa Kitongoji cha Madukani Wilayani Simanjiro Loshilaa Moiyo, ambaye alipatiwa sh110,000 za mfuko wa Maendeleo ya jamii nchini (Tasaf) kwa lengo la kusaidia kaya masikini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. CCM should help, he seems to be a fan of that political party!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...