SIMU.TV: Rais Magufuli asitisha shamra za uhuru. Wasomi, wanasiasa watoa ya moyoni. CCM yashinda Ubunge Lushoto;
SIMU.TV: Mahakama leo kuamua kuagwa ama la mwili wa mwenyekiti Mwanzo. Polisi wapiga marufuku kujichukulia sheria mkononi; https://youtu.be/LP9X-KNvLas
SIMU.TV: Ikulu yawatikisa wafanyabiashara nchini. Taharuki CHADEMA, mtoto wa kigogo asahaulika nafasi za viti maalumu; https://youtu.be/o2GcUXkkso0
SIMU.TV: Kili Stars, Zanzibar Heroes majaribuni leo michuano ya Chalenji. Minziro aibukia Afrika Sports. Mavungo ndani ya 18 Simba; https://youtu.be/JzJ23lyUwvg
SIMU.TV: Familia ya Mawazo yatinga korti kuu, Waziri Mkuu awataka wafanyakazi katika ofisi yake kuwahudumia vyema wananchi; https://youtu.be/J-a7ogZRXUg
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...