Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais- Utumishi Bw. HAB Mkwizu akizungumza na na watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi katika hafla iliyowakutanisha watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi.
Naibu Katibu Mkuu Bw. Tixon Nzunda (aliyesimama) akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Rais-Utumishi katika hafla fupi, iliyowakutanisha watumishi wote, wa kwanza kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Bw. HAB Mkwizu.
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala katika Utumishi wa Umma, Ofisi ya Rais-Utumishi Bw. Nyakimura M. Muhoji akizungumza kwa niaba ya watumishi wa Ofisi ya Rais-utumishi wakati wa hafla fupi ya kuwapokea viongozi walioteuliwa kuongoza Utumishi.
Viongozi wa Ofisi ya Rais-Utumishi, na Menejimenti katika picha ya pamoja.
Viongozi wa Ofisi ya Rais-Utumishi pamoja na watumishi wa Idara ya Ukuzaji Maadili katika picha ya pamoja, Naibu Katibu Mkuu-Utumishi Bw. Nzunda aliwahi kuwa Afisa katika Idara ya Ukuzaji Maadili.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...