Wanafunzi kutoka Uturuki na Bosnia wakiwa katika Boti kuelekea katika kisiwa cha Tumbatu kwa ajili ya kuwatembelea wanafunzi wa madrasa na wananchi mbalimbali katika ziara yao ya siku mbili ili kujenga urafiki baina yao na watu wa Zanzibar.
Wanafunzi kutoka Uturuki na Bosnia wakiwasalimia wanafunzi wa madrasa na walimu waliokuja kuwa pokea katika Kisiwa cha Tumbatu katika ziara yao ya siku mbili ya kujenga urafiki baina yao na watu wa Zanzibar.
Wanafunzi kutoka Uturuki na Bosnia wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa madrasa na walimu katika Kisiwa cha Tumbatu katika ziara yao ya siku mbili ya kujenga urafiki baina yao na watu wa Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...