Kutoka kushoto ni Balozi mstaafu Ahmed Kiwanuka, Nduwayo Mzonya, Hussein Melele na Rashid Njenga wakiwasikiliza wachangaji mbalimbali katka kongamano hilo lijulikanalo Epowerment of Economic Diplomacy in Tanzania .
Balozi mstafu wa Tanzania Nchini India ambaye pia ni mwalimu katika chuo cha diplomasia Balozi Ahmed Kiwanuka akitoa mhuadhara elo kuhusu namna Tanzania inavyoweza kutekeleza diplomasia ya uchumi kupitia ekta mbalimbali na kwa kutumia makundi mbalimbali
Allan Kasamala(mwenye shati ya bluu) akiwa na Baadhi ya washiriki walioshiriki kongamano hilo ambalo limeandaliwa na Wanafunzi,wahitimu na marafiki wa chuo cha diplomasia leo katka ukumbi wa chuo hicho  kilichopo kurasini jijini Dar es Salaam ambapo kongamano hilo limeandaliwa na uongozi wa serikali ya wanafunzi wakishirikiana na wahitimu wa Kozi mbalimbali za mwaka wa masomo 2014/2015 wakiongozwa na Simalenga Simon amaye amemaliza PGD MFR 2014/2015.
Washiriki wa kongamano hilo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...