Mkurungezi
Mkuu wa Marie Stopes
Tanzania, Anil Tambay akizugumza na wananchi (hawapo pichani) kwenye
bonanza la uzazi wa Mpango kwa vijana ambalo lilifanyika mwishoni mwa
wiki katika viwanja vya Mwembeyanga,Temeke jijini Dar.
Mgeni rasmi Zukrah Mkwizu
akizungumuza na wananchi (hawapo pichani) kuhusiana na suala zima la Uzazi wa Mpango,na kusisitiza kuwa uzazi wa mpangp ni silaha
imara ambayo vijana wanaweza kuitumia kupangilia maisha yao na kujikinga dhidi
ya utoaji mimba usio salama na kulinda ndoto zao dhidi ya mimba zisizotarajiwa.
Balozi wa vijana wa Marie Stopes , Doreen Benne akifafanua jambo mbele ya wakazi wa mji wa Temeke na viunga vyake waliofika kwenye kwenye Bonanza la
Uzazi wa Mpango kwa Vijana lililofanyika mwishoni mwa wiki ndani ya viwanja vya Mwembeyanga, Temeke, Dar es Salaam.
Mwanamuziki Barnabas Elias
'Barnaba akionesha umahili wake wa kulitawala jukwaa katika Bonanza la
Uzazi wa Mpango kwa Vijana Mwembeyanga, Temeke, Dar es Salaam
Sehemu
Ya Wananchi Waliofika Katika Bonanza La
Uzazi Wa Mpango Kwa Vijana wakifuatilia yaliyokuwa yakijili kwenye
bonanza hilo ndani viwanja vya Mwembeyanga, Temeke, Jijini Dar Es
Salaam.
(Picha na Emmanuel Massaka , Globu ya jamii).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...