Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitangaza baraza lake la mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 10, 2015.
Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na kushoto ni Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitangaza baraza lake la mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 10, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na kushoto ni Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa. Kushoto kabisa ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.
I am very disappointed with this list,too much old dogs in this list, you can not teach old dog new tricks.
ReplyDeleteHAPA KAZI TU.
ReplyDeletehebu tupishe hapa na old dogs wako!!, Magufuri hakuwa old dog, na kazi umeiona aliyoifanya kwa huu mda mfupi? ulitaka mamvi ndio awe new dog??? Mfyuu wewe
ReplyDeleteHalafu hii misemo kama old dog bs inasound vizuri masikioni but they don't have any meaning in real life. Hapa kazi tu!!
Delete