Filamu ya Kiswahili iliyotengenezwa na waswahili waishio Holland katika kuendeleza mila,desturi na sifa za Kiswahili popote duniani. Hii ni filamu ya majaribio katika utengenezaji wetu wa filamu, tuna matumaini mtaipokea vizuri na tusameheane kwa mapungufu mtayoyaona
Home
Unlabelled
FILAMU MPYA YA KISWAHILI ILIYOCHEZWA NCHINI UHOLANZI ''Nimpende Nani (Gentleman au Bongo Flavor)''
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hongereni sana mmejitahidi pamoja na kwamba hampo huku nyumbani
ReplyDelete