SIMU.TV: Wakazi wa kisiwa cha Songosongo Mkoani Lindi wameiomba serikali kufuta nia ya kuwahamisha kisiwani humo na kumpa mwekezaji.
SIMU.TV: Serikali imesema haina mpango wa kuyafunga maduka binafsi ya dawa yaliyoko katika Hospitali mbalimbali nchini. https://youtu.be/rz9uHSFL63k
SIMU.TV: Shirikisho la vyama vya wafanyakazi Tanzania TUCTA limekemea na kukataa ukandamizaji unaofanywa na baadhi ya waajiri. https://youtu.be/ERm7gZJPk6g
SIMU.TV: Mabondia Francis Cheka na Thomas Machali wamezidi kutunishiana misuli zikiwa zimebaki siku chache ya pambano lao litakalofanyika Morogoro; https://youtu.be/gFa8JmmFK10
SIMU.TV: Meli ya Mapinduzi yawasili katika bandari ya Zanzibar.Ikiwa ni agizo la Rais Shein kupunguza kero ya usafiri visiwani humo; https://youtu.be/090PxmIefqQ
SIMU.TV: Timu ya vijana chini ya miaka 15 imeendelea na mazoezi Jijini Mwanza ikiwa ni maandalizi ya mechi za kimataifa https://youtu.be/h7RdV7qf2Xc
SIMU.TV: Kutana na mtumishi wa Mungu akiwasisitiza wananchi kushiriki katika agizo la tarehe 9 December na kufanya kazi katika hofu ya Mungu. https://youtu.be/xiduTZ5pbMk
SIMU.TV: Yajue mengi kuhusu changamoto mbalimbali zinazowakabili watoto na watu wenye mahitaji maalumu katika jamii ya kitanzania. https://youtu.be/6kXq10dqA9s
SIMU.TV: Pata habari kutoka kwa Meneja mkuu wa gesi, akikujuza kuhusu sheria mpya za gesi na mafuta pamoja na faida kwa wanachi wake https://youtu.be/un8cPxVXx08
SIMU.TV: Ungana na msemaji mkuu wa TANESCO Badra Masoud akikuhabarisha jinsi walivyojipanga katika sekta ya umeme, gesi na mafuta.https://youtu.be/ rGG3deNJxHE
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...