SIMU.TV: Waandishi wa habari wametakiwa kutoa taarifa sahihi kuhusiana na sekta ya mafuta na gesi na namna ambavyo wananchi wanavyoweza kunufaika kwa kuwekeza katika sekta hiyo; https://youtu.be/-gTe6ft787E
SIMU.TV: Katibu wa CCM Mkoani Mara Adam Ngalawa amesema chama hicho hakitasita kuwachukulia hatua madiwani wateule wa chama hicho watakaoshindwa kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo; https://youtu.be/aWLqGy90_fU
SIMU.TV: Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Fatma Ally amewataka wanafunzi kujikita katika masomo maana wao ndio wanaoweza kuleta mabadiliko ya kweli katika elimu; https://youtu.be/0W4AalnDdh4
SIMU.TV: Asasi za kiraia zimetakiwa kuwa wabunifu katika kuendeleza miradi ya maendeleo badala ya kutegemea misaada kutoka nje; https://youtu.be/GAhtEmVVf-4
SIMU.TV: Wafanyakazi 635 wa mgodi wa Tanzanite One Simanjiro kupunguzwa kazini kutokana na uzalishaji kutoridhisha; https://youtu.be/Uc9gdRNi9SQ
SIMU.TV: Mamlaka ya mapato TRA ikishirikiana na Jeshi la polisi imeanza ukaguzi wa Makontena yaliyokamatwa eneo la Tangi Bovu Dar es salaam. https://youtu.be/9v3LpDchQgQ
SIMU.TV: Naibu katibu mkuu wa Ardhi amemtaka Afisa ardhi Halmashauri ya Mkoa wa Tanga kuacha kusoma ramani za viwanja. https://youtu.be/OWtpN-_eA94
SIMU.TV: Asasi za kiraia zaidi ya 250 toka Tanzania bara na visiwani zimekutana jijini Dar kujadili utekelezaji wa mpango wa malengo endelevu wa MDGs 17. https://youtu.be/GJ_jDiTDZu4
SIMU.TV: Madereva wa boda boda Manispaa ya Musoma wamefanya mgomo kushinikiza uongozi wa Manispaa kufuta tozo ya sh. 100,000 https://youtu.be/sALK42BX7Wg
SIMU.TV: Mamlaka ya udhibiti wa Nishati na maji EWURA imetangaza kupungua kwa bei mpya elekezi ya Mafuta; https://youtu.be/FqVjtjbi7dE
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...