Kanisa la Agape (Agape Family Church) Houston Texas likiongozwa na Mtumishi Elisha limeandaa maadhimisho ya kipekee ya Krismasi yatakayofanyika Houston Texas kwa siku mbili yaani 24 na 25 Desemba 2015. Habari zaidi soma kipeperushi hapa chini. 
Home
Unlabelled
HOUSTON TEXAS KUWAKA MOTO WA SIFA WAKATI WA SHEREHE ZA KRISMASI.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Nimewahi kuhudhuria ibada za kanisa hili kweli ibada zinabariki na uimbaji ni kweli wa baraka sana. Mungu akinijalia nitafika pamoja na familia yangu yote. Wana wapiga vyombo machachari sana nakumbuka wakati fulani mtumishi wa Mungu Elisha mwenyewe alikuwa amekamata bass sikujua kama na yeye ni mwanafunzi wa mambo hayo. Nashauri nawe ufike.
ReplyDelete