DUKA LA J&M VIRGO LIMEKUTELEA MALI MPYA NA ZA UHAKIKA KABISA KWAKO WEWE MTANZANIA MWENYE KUPENDA KUTOKA KIJANJA KATIKA MSIMU HUU WA SIKUKUU ZA KRISMAS NA MWAKA MPYA, MZIGO UMESHUKA JUZI TU TOKA MAJUU ILI UWEZE KUNG'AA KATIKA KIPINDI HIKI, WATEMBELEE J&M VIRGO WENYE UHODARI WA KUUZA VIWALO VYA NGUVU NA VYA KISASA KATIKA DUKA LAO LILILOPO PALE MIKOCHENI KWA WARIOBA, JENGO LA C&G PLAZA GHOROFA YA KWANZA, JIJI LA DAR ES SALAAM.
FIKA ILI UWEZE KUJIPATIA VIWALO VYA KIJANJA,POCHI BABKUBWA,MOKA MATATA NA MICHUCHUMIO YA HAJA KWA KINA DADA.
KWA TAARIFA ZAIDI TEMBELEA LIBENEKE LAO
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...