Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na wageni waalikwa leo katika Ukumbi wa Nkrumah Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (ambao hawapo katika picha) jijini Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa Mdahalo katika kuadhimisha Siku ya Maadili
![]() |
Baadhi ya wageni waalikwa katika Mdahalo wa Maadhimisho ya Siku ya Maadili wakifuatilia hotuba ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue alipokuwa akifungua mdahalo huo leo jijini Dar es Salaam. |
Mkurugenzi Mtendaji wa Roundtable Bw.Ali Mufuruki akizungumza na wageni waalikwa (ambao hapo katika picha) wakati wa ufunguzi wa Mdahalo katika Madhimisho ya Siku ya Maadili leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wanne kushoto) leo jijini Dar es Salaam,mara baada ya Ufunguzi wa Mdahalo wa Maadhimisho ya Siku ya Maadili (watatu kulia) ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Prof.Rwekaza Mkandara.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...