Mkurugenzi wa KFC Mr Louis Venter na msimamizi wa KFC Area Coach Mr Rico Legaspi wakikata utepe kuzindua tawi la KFC eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam.
Mrs Sezaria Kiwango Mwalimu wa Shule ya Uhuru Mchanganyiko Primary akipokea cheque na wanafunzi kutoka kwa Mkurugenzi wa KFC Mr Louis Venter.
Mkurugenzi wa KFC Mr Louis Venter akigawa chakula kwa watoto wasioona.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...