wanafunzi waliosoma zamani shule za St Joseph's Convent School na Forodhani Secondary School (St Josephs and Forodhani ALUMNI) washerehekea tarehe12 December kwa kuwapelekea wagonjwa 360 wa kansa hospitali za Ocean Road na Muhimbili sabuni za kufulia na kuogea, miswaki na dawa za kusafishia meno.
Mkuu wa msafara Collins Rutenge, amesema tarehe 9 Disemba walikuwa wakifanya usafi kila mmoja alipo.
Kama kukindi waliamua kupeleka vifaa vya usafi kwa wagonjwa wa kansa waliolazwa hospitali za Ocean Road na Muhimbili ili na wao wapate vifaa vya kufanyia usafi wa mwili.
Ndani ya kituo. Tuna kutana na Mlezi Eunice (aliopiga
goti) na kutupokea vizuri
Wanafunzi waliosoma St Joseph Convent School na Forodhani
Secondary School kwa mara nyingine tena wamejitolea kwa kuadhimisha siku ya
UHURU kwa kupeleka sabuni za kuoga na za kufulia, miswaki na dawa za kusafishia
meno kwa wangonjwa 300 waliolazwa katika Hospitali ya Ocean Road jijini Dar es
es Salaam . Hapa ni kikundi kiliofika
hospitalini kwa niaba ya
Kiongozi wa msafara ( kushoto) amesema wameitikia wito wa Rais Magufuli ya
USAFI kwa hivyo wameleta sabuni za kuogea na za kufulia miswaki na dawa za
kusafishia meno.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...