Wahitimu wa Shahada ya Uhasibu(BAC) katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA)Felister Kulaya,Janeth Maleto,Eliza Hollo na Oscar Uwesu wakiwa katika picha ya pamoja wakijiandaa kuanza mahafali yao ya kuhitimu Shahada Hiyo leo Katika Taasisi hiyo yaliyofanyika katika makao makuu ya Taasisi yaliyopo kurasini Jijini Dar es Salaam.
Wahitimu wa Stashahada ya Uhasibu (DA) katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) Janet na Edna wakiwa katika picha ya pamoja wakijiandaa kuanza mahafali yao ya kuhitimu Stashahada Hiyo leo Katika Taasisi hiyo yaliyofanyika katika makao makuu ya Taasisi yaliyopo kurasini Jijini Dar es Salaam.
Wahitimu wa Shahada ya Ugavi(BPLM) katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA)wakiwa katika picha ya pamoja wakijiandaa kuanza mahafali yao ya kuhitimu Shahada Hiyo leo Katika Taasisi hiyo yaliyofanyika katika makao makuu ya Taasisi yaliyopo kurasini Jijini Dar es Salaam.
Wahitimu wa Shahada ya Uhasibu(BAC) na Ugavi (BPLM) katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA)Josephat Mwashimaha,Steven Lucas,Evelyn Ngachengo na Agness mchaa wakiwa katika picha ya pamoja wakijiandaa kuanza mahafali yao ya kuhitimu Shahada Hiyo leo Katika Taasisi hiyo yaliyofanyika katika makao makuu ya Taasisi yaliyopo kurasini Jijini Dar es Salaam.
Wahitimu wa Shahada ya Rasilimali watu (BHRM) katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA)Anna Masimba,Tumaini Mwalyoga,Beatrice Shoo,Flora Katanzi,Nuru Makumulo na Abdi Katanzi wakiwa katika picha ya pamoja wakijiandaa kuanza mahafali yao ya kuhitimu Shahada Hiyo leo Katika Taasisi hiyo yaliyofanyika katika makao makuu ya Taasisi yaliyopo kurasini Jijini Dar es Salaam.
Wahitimu wa Shahada ya Uhasibu (BAC) katika Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA)Hassan Msakamali,Joseph Paschal,Amri Ngoi na Richard LIfa wakiwa katika picha ya pamoja na Mhadhiri wao Dkt.Kato Mpanju Rugaitika wakijiandaa kuanza mahafali yao ya kuhitimu Shahada Hiyo leo Katika Taasisi hiyo yaliyofanyika katika makao makuu ya Taasisi yaliyopo kurasini Jijini Dar es Salaam. Picha zote kwa hisani ya Masama Blog...
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...