SIMU.TV: 40 wakamatwa kuhusiana na ukwepaji kodi wa makontena bandarini. Siku 7 za rais Magufuli zaingizia serikali bil. 10; https://youtu.be/59TORm06cHk
SIMU.TV: Wanne mbaroni kwa mauwaji wa askari wa Suma JKT. Katibu mkuu ardhi aingia matatani. Kinana amjibu Lowassa; https://youtu.be/l9vHIpkOMjE
SIMU.TV: Simba, Yanga kibaruani leo. Malinzi asema tutampa ushirikiano Nape. Samatta aanza safari ya kumsaka Messi; https://youtu.be/oSUF25xu8Ak
SIMU.TV: Kova aweka dau kumsaka aliyetorokea Somaliland. Balozi Seif aagiza mikataba nyumba za serikali ifutwe.Wahamiaji haramu wageuzwa dili Dar;https://youtu.be/Ex1d-Jt3ucA
SIMU.TV: Mawaziri waliotemwa walonga. Viongozi wa dini wachambua baraza la mawaziri. Idara ya uhamiaji sasa yachachamaa; https://youtu.be/TDGTOElou9A
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...