Mratibu
wa Uyacode Bw Aldo Lusinde akimkaribisha mgeni rasmi wa uzinduzi wa
Kana vicoba Group Bw Aloyce Ntukamazina kwa kumueleza machache kabla ya
uzinduzi rasmi, aliye katikati ni meneja wa GEPF mkoa wa kinondoni Bw
Mohammed Nyallo.
Mratibu
wa Umoja wa Vikoba wa Uyacode Bw Aldo Lusinde akelezea mafanikio na
matarajio ya Umoja wa Uyacode wenye jumla ya wanachama 27,000 na ofisi
katika mikoa 18 ya Tanzania Bara na mmoja wa Zanzibar
Mkuu
wa Kitengo cha masoko kutoka GEPF Bw Aloyce Ntukamazina akisoma hotuba
ya ufunguzi na kuwaelezea faida ya Vikoba kujiunga na Mfuko wa GEPF na
kujiwekea akiba ya uzeeni.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...