Wadau,
Nafasi ya kazi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) itakuwa wazi kuanzia Mwezi Septemba, 2016. Mchakato wa kumpata mrithi wa Bw. George Nyatega (Mkurugenzi Mtendaji wa sasa) umeanza. Kwa mwenye sifa afungue link hii http://www.heslb.go.tz/images/ adverts/JOB_POSITION_ED_2015. pdf . Kila la heri.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...