Naibu
waziri ofisi ya raisi tamisemi utumishi na utawala bora Mh Selemani Jafo akipata maelezo kutoka
kwa kaimu meneja mafao wa LAPF Bw. Amani Sindato akionyeshwa mafaili ya
wanachama wanaostaafu mwezi januari 2016 lakini wameshaandaliwa mafao yao.
Naibu
waziri ofisi ya raisi tamisemi utumishi na utawala bora Mh Selemani Jafo akionyeshwa orodha ya
wanachama wanaotarajia kustaafu miezi sita ijayo na Afisa mafao mwandamizi Bw.
Franklin Boga. LAPF huwatambua wanachama hao mapema ili kuwaandalia mafao yao na
kutimiza azma ya LAPF kulipa jana wastaafu wa kesho.
Naibu
waziri ofisi ya raisi tamisemi utumishi na utawala bora Mh Selemani Jafo katika
picha ya pamoja na menejimenti ya LAPF.
Naibu
waziri ofisi ya raisi Tamisemi utumishi na utawala bora Mh Selemani Jafo akisaini kitabu cha wageni, pembeni ni
Kaimu Mkurugenzi mkuu wa LAPF Bw. John kida
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...