Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akisoma gazeti lenye kurasa za matangazo alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) wachapishaji wa magazeti ya HabariLeo, Dailynews na Spoti Leo, leo jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mhariri Mtendaji wa TSN Bw. Gabriel Nderumaki.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akifuatilia maelezo namna gazeti linavyotengenezwa kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) wachapishaji wa magazeti ya HabariLeo, Dailynews na Spoti Leo, leo jijini Dar es Salaam.Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO Bw. Assah Mwambene na Mhariri Mtendaji wa TSN Bw. Gabriel Nderumaki(katikati).
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia James Wambura akiwa katika ziara ya kiakzi katika ofisi za Kampuni ya magazeti ya Serikali (TSN) wachapishaji wa magazeti ya HabariLeo, Dailynews na Spoti Leo, leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mhariri Mtendaji wa TSN Bw. Gabriel Nderumaki na kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO Bw. Assah Mwambene.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...