Naibu
Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura
katikati akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji
Mkuu wa Serikali Bw. Assah Mwambene wa kwanza kulia ya jinsi ya kutunza picha
za matukio mbalimbali wakati alipofanya ziara Idarani hapo leo.
Naibu Waziri Wizara
ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura kulia akimkabidhiwa
moja ya vipeperushi vinavyotolewa na Bodi ya Filamu Tanzania ambavyo vina lengo
vya kuwaelimisha wasanii, anayemkabidhi ni Katibu wa Bodi ya Filamu Tanzania Bi
Joyce Fissoo.
Naibu
Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura
katikati akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji
Mkuu wa Serikali Bw. Assah Mwambene wa kwanza kulia ya jinsi ya kutunza picha
za matukio mbalimbali wakati alipofanya ziara Idarani hapo leo, kushoto ni
Afisa Habari Mkuu Anna Itenda. Picha na Benjamini Sawe-WHSUM.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...