Wanyama aina ya Nyati wanane wakiwa wamekufa baada ya kugongwa na gari aina ya Fuso kwenye mbuga ya Wanyama ya Mikumi na kusababisha foleni ya magari. Tukio hili limetokea alfajiri ya leo tarehe 4 Desemba 2015.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. huu ni uzembe!! huyu dereva inatakiwa apelekwe jela haraka sana!!!hapa kazi tu

    ReplyDelete
  2. mmmh mbona hawaoneshi kuwa wamejeruhiwa popote? halafu wanane? kweli wamegongwa au wamenywesha kitu cha sumu? hapa kuna kitu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...