Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam jana Alhamisi Desemba 17, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu
Hassan na kushoto kwake ni Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa.
Kikao hicho ni cha kwanza kufanyika tangu Rais Magufuli atangaze Baraza
la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Tano wiki iliyopita.
PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...