Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Mhongo katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii na Jinsia, wazee na watoto, Ummy Mwalimu katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri , leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha waziri wa Katiba na Sheria, Harrison Mwakyembe katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akimuapisha Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi, Mwigulu Lameck Nchemba katika hafla fupi ya kuwaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri, leo katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es Salaam.

PICHA ZAIDI YA TUKIO HILO BOFYA HAPA
Hongereni waheshimiwa. Tunaomba mtukumbuke watu wa Morogoro umeme unakatika sana. Tunashindwa kufanya shughuli zetu.
ReplyDeleteUmeme unakatika kupita maelezo huku Morogoro na hakuna taarifa yoyote kutoka TANESCO. Kifupi ni kwamba tunashindwa kufanya kazi kabisaaa hapa Morogoro sasa yapata miezi mitatu umeme unakatika almost kila siku.
ReplyDeleteJanuari, Nape, Mwigulu, Hamisi,...vijana hawa wanaweza kuja kuwa marais wazuri huko mbeleni, kama vile JPM. JPM naye alianza uwaziri akiwa kadogo.
ReplyDelete