Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Viongozi na Wawakilishi wa Umoja wa Sekta Binafsi nchini (Tanzania Private Sector Foundation - TPSF) katika ukumbi wa mkutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 3, 2015 PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Thats my President JPM, Mola Mlezi akulinde

    ReplyDelete
  2. Kwakweli tumepata Rais Tanzania.....Nyerere mwingine amefika, tumwombee sana sanaaaa

    ReplyDelete
  3. Wow!! this is a true President. He cares about Tanzania and reflects what truly used to be the spirit and morals of Tanzania during Nyerere time. He needs our support and protection. Bless all Tanzanians.

    ReplyDelete
  4. Mr president you are our men keep your promise

    ReplyDelete
  5. Tunakuombea kwa mungu raisi wetu akuzidishie afya utuongoze kwenye kuikomboa taifa letu kwenye matatizo yanayolikumba. Tulimsubiri mtu kama wewe kwa miaka mingi naona mwenyezi mungu kasikia vilio vya waliowengi.

    ReplyDelete
  6. Very good speech. It is clear that president is aware of what is wrong, and where he specifically wants to take country.
    I love this guys I think our country has a great leader who will do a thorough job.
    I like the speech.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...