Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne na Mjumbe Maalum wa Umoja wa Afrika nchini Comoro Leo amekutana na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Africa, Mheshimiwa Dkt. Nkosazana Dlamini Zuma kuzungumzia hail ya siasa nchini Comoro. Katika Mkutano huo, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete aliwasilisha taarifa ya ziara maalum aliyoifanya Comoro tarehe 1 Desemba, 2015.
![]() |
Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Libya, Mheshimiwa Mohammed Al-Dairi aliyemtembelea na kufanya nae mazungumzo jijini Johannesburg pembezoni mwa Mkutano wa China na Afrika.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...