Mkuu wa Mkoa wa Dodoma mhe. Chiku Gallawa (katikati waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na madiwani wapya wa Baraza la Halmashauri ya wilaya Kongwa wakati wa uzinduzi wa baraza hilo mapema wiki hii.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma mhe. Chiku Gallawa akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa baraza jipya la madiwani la hamashauri ya Wilaya Kongwa mapema wiki hii, Mhe. Gallawa alisisitiza kuongeza mapato ya halmashauri na kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo.
Sehemu ya Watendaji na Madiwani wapya wa Baraza la Halmashauri ya wilaya Kongwa wakisikiliza hotuba ya ufunguzi wa baraza hilo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma (hayupo pichani) mapema wiki hii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...