SIMU.TV: Wafanyabiashara Katavi walalamikia uamuzi wa kuzuiwa kupakia na kusafirisha mazao kutoka kwenye ghala la chakula; https://youtu.be/PpQjIfK7ZP4
SIMU.TV: Madereva Makambako wailalamikia halmashauri kwa ubovu wa stendi ya mkoa licha ya ushuru unaolipwa na wafanyabiashara; https://youtu.be/OYrqlIv5kGY
SIMU.TV: Wakazi wa mkoa wa Lindi hatarini kupata upofu kutokana na kuenea kwa ugonjwa wa vikope ambao umeenea sana wilayani Ulanga;https://youtu.be/CWG8iJ5-EME
SIMU.TV: Kaya 12 mkoani Mbeya zakosa makazi baada ya mvua kubwa kubomoa nyumba za wananchi na kuharibu takribani heka 14 za mazao;https://youtu.be/ft7zt7tYPk0
SIMU.TV: Bodi ya mchezo wa bahati na sibu yazitaka kampuni zinazoendesha mchezo huo kuanza kulipa kodi za mapato; https://youtu.be/KMfYm-SJb64
SIMU.TV: Tamaa ya fedha yawaponza mke, mtunza bustani na rafiki wa kike wa aliyekuwa afisa wa TANAPA mkoani Arusha; https://youtu.be/JQXxFSvUT1E
SIMU.TV: Tiger Woods atamba kurudisha makali yake katika mchezo wa golf katika michuano ijayo licha ya tatizo la kiafya alilonalo; https://youtu.be/QL2OPH9D3zE
SIMU.TV: Polisi waitahadharisha jamii kusherekea sikukuu bila ya kujihusisha na vitendo vya uvunjifu wa sheria za nchi; https://youtu.be/k0V4uIXESns
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...