Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Baba hongera kwa kurudia Wizara yako ile ile ya zamani. Ni heshima na amana kubwa kwawatanzania. Migogoro ya Ardhi ipo na ni Watendaji waliopo katika Manispaa mbalimbali wanayoifanya hiyo. Ni watendaji waliosheheni utovu wa adabu na heshma kwa Watanzania. Umeletwa baba utufungulie njia na kutuongoza katika upatikanaji wa suluhu katika mambo yahusuyo ardhi. Njoo katika Halmashauri zetu, njoo katika miji tuloyopo, njoo katika Vijiji na mitaa tuliyopo tukuoneshe na utusaidie katika misongo ya mawazo tuliyonayo. Tunaishi kifukara na kama Wakimbizi eti tu kwa sababu mwenye pesa ametuzunguka kupitia Watendaji katika Mitaa na Vitongoji tulivyopo. Si rahisi na si busara kwa kila mwenye shida kukimbilia kwa Rais wa nchi.Wewe baba umeteuliwa kumsaidia Mkuu wa nchi ili kuwafikia wananchi na watu wote kuweza kuondoa kero na fedheha tunazoachiwa na Watendaji wasio na soni wala taharuki ya kuwafedhehesha wananchi. Idumu Tanzania yetu, Mungu wabariki watu wake na viongozi wetu wote. daima twendeni mbele na pamoja tutafika. Ni mimi SAM

    ReplyDelete
  2. Mke aake ni mfanya biashara maarufu, ama sivyo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...