Kampuni iliyopewa kandarasi ya kusambaza umeme katika mkoa wa Kagera imelalamikiwa kuwa baadhi ya wafanyakazi wake kujihusisha na vitendo vya Rushwa.https://youtu.be/46Yk2_Je9us
Familia 79 za walemavu wa ukoma katika kambi ya Nyabange wilayani Butiama watoa wito kwa taasisi na mashirika mbalimbali kuwasaidia kuboresha huduma za kijamii.https://youtu.be/Haig5So1Fow
Wakazi wa kijiji cha Mwambegwa kilosa Mkoani Morogoro waiomba Wizara ya ardhi kufuta mashamba pori ya wawekezaji ambayo hayajaendelezwa.https://youtu.be/A9Isi7VHu8I
Serikali yapongeza jitihada zinazofanywa na taasisi za dini kwa kuwawezesha wajasiliamali ili kujikwamua kiuchumi: https://youtu.be/SDjOg38IUBo
Wizara ya ardhi yaanza kutumia mfumo mpya wa tehama ili kuboresha huduma zao na kutatua migogoro ya ardhi nchini: https://youtu.be/4j5F8pgIxLI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...