Balozi wa Hispania hapa nchini, H.E Felix Costaldes akizungumza wakati wa uzinduzi wa Spanish Culinary week ambayo imezinduliwa Ijumaa usiku katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Habari Beach jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Balozi wa Hispania hapa nchini, H.E Felix Costaldes akikata keki kuashiria uzinduzi wa Spanish Culinary week iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam.
Watumbuizaji wakitumbuiza katika hafla ya uzinduzi wa Spanish Culinary week jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya washiriki wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzindua Spanish Culinary week jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...