Familia ya Bw. Mgalula Fundikira inasikitika kuwataarifu ndugu, jamaa na marafiki kuwa mwanawe Mlawila (Lawi) Fundikira (18) (pichani) amefariki dunia alfajiri ya Jumamosi  katika hospitali ya Taifa Muhimbili baada ya kulazwa kutokana na ajali ya gari aliyopata alfajiri ya Jumapili ya tarehe 12/11/2015.
Msiba upo Kinondoni block 42 (Bwawani) mtaa ilipo Facebook take away. Mazishi yatafanyika leo saa 10 jioni katikai makaburi ya Kisutu. 
Mwili wa marehemu ukiondolewa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili muda huu kuelekea nyumbani Kinondoni kwa maandalizi kabla ya Mazishi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. poleni. ingawa tunasema kazi ya Mungu haina makosa, kila jitihada zifanywe kuhahihisha vifo vinavyotokana na ajali vinadhibitiwa.

    ReplyDelete
  2. Innallilah wainnahilahi rajiuna

    ReplyDelete
  3. Inna Lillahi Wainna Ilayhi Rajiuon. Mwenyeez Mungu amrehem Ya Arhama R'rahimeena - AMEN.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...