MERY MICHAEL LASWAI anatangaza kuibiwa kwa Wallet ikiwa na Nyaraka (Document) nyingi pamoja na Vitambulisho, Leseni ya Uderava, Kadi za Benki na Kadi ya Mpiga kura vyote vikiwa na jina la MERY MICHAEL LASWAI.
Vitu hivyo aliibiwa akiwa maeneo ya Boko jijini Dar es Salaam
atakayeviona mahari popote pale tunaomba apige simu namba 0754441165 na 0688045999.
SHUKRANI.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...