Meneja Mawasiliano wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Marie Msellemu akikabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni kumi (10,000,000) kwa Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Abdallah Kihato (wa tatu kulia) kwa ajili ya ujenzi wa kisima cha maji katika kijiji cha Njia Nne.
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, Abdallah Kihato akitoa neno la shukrani baada ya kukabidhiwa kiasi cha shilingi milioni kumi (10,000,000) kwa ajili ya ujenzi wa kisima cha maji katika kijiji cha Njia Nne.
Wanakijiji wa kijiji cha Njia Nne wa walio hudhuria shughuli ya makabidhiano hayo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...