Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakigawana nyenzo za kufanyia usafi kabla ya kuanza usafi katika soko la Temeke Stereo jijini Dar es Salaam leo kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli aliyeamuru Siku ya Maadhimisho ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali ikiwa ni kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umekua ukiibuka mara kwa mara na kupoteza maisha ya wananchi.
Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakifanya usafi katika soko la Temeke Stereo jijini Dar es Salaam leo kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli aliyeamuru Siku ya Maadhimisho ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali ikiwa ni kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umekua ukiibuka mara kwa mara na kupoteza maisha ya wananchi.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) wakifanya usafi katika soko la Temeke Stereo jijini Dar es Salaam leo kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli aliyeamuru Siku ya Maadhimisho ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali ikiwa ni kukabiliana na ugonjwa wa Kipindupindu ambao umekua ukiibuka mara kwa mara na kupoteza maisha ya wananchi.


Ofisa Uhusiano wa TTCL, Amanda Luhanga akisaidiana na wafanyakazi wenzake kufanya usafi katika Soko la Temeke Stereo leo asubuhi jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...