SIMU.TV: Kutokuwapo mawaziri kumeokoa mabilioni. TRA yaibana Bakwata msamaha wa kodi. Waliotorosha makontena hadharani,
SIMU.TV: Moto wa rais Magufuli waichoma TANESCO. Mawakili watano kutetea ubunge wa Kubenea. Majipu miradi ya barabara; https://youtu.be/6BVQqblZyp4
SIMU.TV: Wenyeviti CCM wampa tano rais Magufuli. Gesi yaleta mapinduzi makubwa ya umeme. Makonda aibua ufisadi bil.2.2; https://youtu.be/mtHOZI856-o
SIMU.TV: Wazee wa kazi YANGA wavamia Tanga. Kiongera, Kiiza wawekewa ulinzi. Azam yaiwaza Simba. Mbeya City yanasa watatu; https://youtu.be/NZKuOo2CggA
SIMU.TV: Magufuli, Manji hapatoshi CCM. Vigogo 7 TANESCO wazolewa, ni kasi ya utumbuaji majipu. Pata habari za kina katika magazeti ya leo; https://youtu.be/twaGmgKG1_k
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...