Magufuli kila kona duniani. Wengi waguswa na utendaji kazi wake, wataka viongozi wa Afrika kumuiga.
SIMU.TV: Siku 35 za Magufuli. Vigogo 78 wafyekwa, kasi yake yawatia wengi tumbo joto. CCM yampa baraka kutumbua majipu; https://youtu.be/mZba3DzjuvU
SIMU.TV: Geti namba 5 kichaka ufisadi bandari. Mgombea CUF Mbagala ashinda pingamizi. Daktari wa Tanzania apeta kimataifa; https://youtu.be/lSTzVW2uL08
SIMU.TV: Yanga kama Magufuli. Azam yaipiga mkwara Simba. SECAFA inahitaji mipango mipya. Stars under 15 yarejea Dar; https://youtu.be/-te0uv3RjP4
SIMU.TV: Pata habari motomoto zilizotawala katika magazeti ya leo Disemba 9.2015 hapa Simu.tv;https://youtu.be/EpSCvEEWeDM
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...