Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakishirikiana na wafanyakazi wa Hospitali ya Sinza Parestina wakifanya usafi maeneo anuai ya hospitali hiyo ikiwa ni kuitikia mwito wa Rais Dk. John Pombe Magufuli wa kutangaza siku ya 9 Desemba itumike kufanya usafi maeneo mbalimbali ili kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.

Hapo ni Sinza Parestina au Sinza Palestina?
ReplyDelete