Jeshi la polisi mkoani Tabora limetoa agizo kuwachukuliwa hatua polisi wanaojihusisha na uharifu na wanaotoa siri za jeshi hilo: https://youtu.be/ke0jqZIOm3o

Waumi ni wa pentekoste mkoani  Singida wamefanya ibada maalumu ya kumuombea Rais Magufuli ili aendelee kutumbua majipu: https://youtu.be/1dRmKUcqGHg

Waumini wa dini ya kiislamu wajitoa kusaidia wasiojiweza katika kuadhimisha sikukuu ya kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) https://youtu.be/-sI1j96PQ4E

Viongozi wa kamati ya Shehia visiwani Unguja wamewaomba wananchi hususani  vijana kuepukana na maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi :https://youtu.be/CkyBCyBhXRQ

Wakazi wa mkoa wa Iringa wagundua dawa ya kuzuia mvua za mawe pamoja na mvua za upepo ili kuondokana na maafa yatokanayo na mvua hizo:https://youtu.be/NILch8FjIRE

Watanzania watakiwa kumshukuru Mungu kwa kumaliza uchaguzi salama na kupata viongozi wanaofanya kazi kwa bidii: https://youtu.be/BNCl6PYAPcY

Baadhi ya viongozi wa dini ya kikristo wameliombea taifa kuishi kwa umoja na mshikamano na kuwasaidia wasiojiweza: https://youtu.be/UbWQVx3h9H8

Mchungaji wa kanisa la mlima wa moto amewataka watanzania kumuombea afya njema Rais Magufuli ili taifa liweze kusonga mbele: https://youtu.be/S_JIdytcdLQ

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Adui wetu mkuu ni ujinga (kukosa elimu) na adui huyu anasababisha maadui wengine kama maradhi na uharibifu wa mazingira.

    Tatizo hili la ujinga lipungue kunusuru dunia na mazingira. Mmea huu unaweza toweka kwa sababu ya imani hizi potofu. Na watz ni wazuri kwa imani potofu.

    ReplyDelete
  2. Jamani! Yaani kituo cha TV kinatangaza habari hii kama vile ni habari yenye uhakika. Come on now! Ninyi watu wa TV mlitakiwa mseme kuwa kuna imani inayoonekana kuwa ni potofu ineukumba mkoa wa Iringa kutokana na mvua za radi zinazoendelea kunyesha mkoani humo. Lakini kwa ninyi kuitangaza hii habari kama vile ni jambo lililothibitika kuzuia mvua ya mawe na radi, ni jambo la kushangaza. Tumieni vyombo vya habari kuielimisha jamii kwambi mambo haya yanasababishwa na uchafuzi wa mazingira (hali ya hewa) unaosababishwa hasa na nchi zilizoendelea kama China na Marekani ambazo viwanda vyao vinachoma petroli, makaa ya mawe, gesi, na kemijali nyingine nyingi ambazo zinachafua mazingira na hewa (ozone layer) ambayo matokeo yake huathili tabia nchi. Inafaa elimu hii ifundishwe tokea shule ya msingi. Tuelimishe jamii yetu jamani. Stop playing!

    ReplyDelete
  3. Mi nakwambia waandishi wengi aidha hawajui kazi yao kwa sababu ya shule mbovu au kutofata kanuni walzofundishwa bali pia inawezekana nao ni sehemu ya jamii potofu: wana imani hizo hivo wanahisi wanasaidia jamii ili watu wengi wasife.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...