Wananchi, Wafanyabiashara, Wanasiasa na Wanafunzi wa Jiji la
Mbeya waitikia wito wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt.John Pombe Magufuli kufanya Usafi katika Maeneo Mbalimbali ya Jiji
la Mbeya kama waonekanavyo hapo na zifuatazo hapo chini ni Taswira
Mbalimbali za Jinsi hali ya Mambo ilivyo kuwa katika baadhi ya Maeneo
ya Jiji la Mbeya.
Mitaa Mbalimbali ya Jiji la Mbeya imepokea vyema wito wa Rais
wa Awamu ya Tano juu ya agizo la kufanya Usafi Nchi nzima kwa
siku hii ya leo
PICHA ZOTE NA MR.PENGO GLOBU
YA JAMII MBEYA. AU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...