
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akihutubia
mbele ya wadau wa sanaa (hawapo pichani)wakati wa hafla ya kufunga
maonyesho ya Siku ya Msanii iliyofanyika katika ukumbi wa Makumbusho ya
Taifa mapema wikiendi hii jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akisalimiana na Rais wa Shirikisho la wasanii wa Filamu Tanzania Bw. Simon Mwakifamba mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa kwa ajili ya hafla ya kufunga maonyesho ya Siku ya Msanii mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa
Kampuni ya Haak Neel Production waendeshaji wa maonyesho hayo Bw. Namala
(katikati) akimpongeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel mara baada ya kumaliza
hotuba yake katika hafkla ya kufunga maonyesho ya Siku ya Msanii
mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa
Maendeleo ya Utamaduni kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Bibi. Leah Kihimbi.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa mashirikisho ya wasanii Tanzania, Basata, Haak Neel Production, Bodi ya Filamu na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakati wa hafla kufunga maonyesho ya Siku ya Msanii wikiendi hii jijini Dar es Salaam.
Picha na Frank Shija, WHVUM.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...