Home
Unlabelled
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa aitikisa Mamlaka ya Bandari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hahahaaaa! Paka ameingia na Panya....
ReplyDeleteAlisemaaaa, alisema, alisema Mwalimu alisema, vijana wangu sasa mmelegea, sharti tuanze mchakamchakaaa!!!!
Clean clean all the mess.
MKONO WA MWENYE BIDII UTATAWALA; BALI MVIVU ATALIPISHWA KODI
ReplyDeleteSOMA MITHALI 12:24, PIGENI KAZI WATU WA BABA, IKOMBOENI TANZANIA.
Hii kasi itatuletea maisha bora kwa wote, badala ya maisha bora kwa wachache waliokuwa juu ya sheria. Sasa nimeanza kuipenda nchi yangu.
ReplyDeleteTunawaombea Mungu Mh.Majaliwa na Rais wetu.
Ofisi za TRA zilikuwa zipo China,ukilipia huko basi mzigo wako unaletewa nyumbani kwa kufanyiwa direct release.
ReplyDeleteKweli kila lenye mwanzo ,halikosi kuwa na mwisho....nchi imepata wenye uchungu nayo.