Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisafisha mtaro wa maji machafu kwenye soko kuu la Kariakoo jijini Dar es salaam Desemba 9, 2015.
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akitoka eneo la shimoni kwenye soko kuu la Kariakoo kufanya usafi Desemba 9, 2015. Kulia kwake ni Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond Mushi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na umati ulioshiriki katika kufanya usafi kwenye soko kuu la Kariakoo jijini Dar es salaam Desemba 9, 2015. Kushoto kwake ni Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond Mushi.
(Pichana Ofisi ya Waziri Mkuu)
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
KAZI NZURI VIONGOZI WETU, KWA USHAURI WANGU ....MITARO YOTE YA MAJI MACHAFU INAPASWA IZIBWE (SIYO KUZIBWA KABISA INATAKIWA IACHIWE MATUNDU MADOGO MADOGO YA KUPITISHA MAJI)HIYO MITARO IKIACHWA WAZI WATU WASIO WASTAARABU WANATUPIA TAKA HUMO HIVYO KUFANYA IZIBE. PIA IWEPO DUMPSTER KUBWA NA MALORI MAALUMU YA KUBEBA HIZO TAKA, BILA HIVYO MIJI YETU ITAENDELEA KUWA MICHAFU KWA SABABU WANANCHI WATAKUWA WANATUPA TAKA KWENYE HIYO MITARO NA KUTUPA CHINI HIVYO KULETA UVUNDO KWA SABABU WATAKUWA HAWANA MAHALI PA KUTUPA TAKA. DUMPSTER(MAKONTENA YA KUTUPIA NA KUHIFADHIA TAKA)KUWE NA ADHABU KALI KWA WATAKAOTUPA TAKA OVYO PIA.
ReplyDelete